Orodha ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano
ya Dk. Magufuli.
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
John Pombe Magufuli ametangaza baraza lake la
mawaziri
litakalomsaidia kutekeleza majukumu yake. Baraza
hilo lina Wizara na mawaziri 18 na manaibu waziri
15. Hata hivyo mawaziri wanne hakuwataja na
kudai atawaongeza hapo baadaye. Amesema
hakuta kuwa na semina elekezi kwa mawaziri
kabla ya kuanza kazi ikiwa na staili yake ya kubana
matumizi. Fedha zilizotengwa kwa ajili ya semina
hiyo zitatumika katika matumizi mengine kwenye
elimu. Zaidi soma taarifa yake hapo juu
akizungumza na waandishi wa habari.